Kampeni za uchaguzi Kenya zinaanza

Rais Mwai Kibaki wa Kenya awasili katika sherehe za 49 za siku ya Jamhuri, sherehe za mwisho kabla ya kuacha madaraka

Wanaharakati wa mashirika ya kiraia wakipinga hatua ya wabunge kujiongezea mishahara

Kenya's Prime Minister Raila Odinga (R) and Vice President Kalonzo Musyoka arrive at the Uhuru Park grounds for a joint political rally by the Coalition for Reforms and Democracy (CORD) in Kenya's capital Nairobi, December 22, 2012.

Paul Muite ahutubia mashabiki wake

Kuandikishwa wapiga kura Kenya

Watu wahudhuria mkutano wa hadhara ulofanywa na waziri mkuu Riala Odinga Kisumu

Mkuu wa tume ya uchaguzi Kenya

Wapiga kura wajiandikisha kabla ya uchaguzi mkuu

MRC demonsrtations in Mombasa

Wazir wa zamani wa elimu Kenya  William Ruto, kushoto, Naibu Waziri Mkuu Uhuru Kenyatta, kati, na makamu rais Kalonzo Musyoka, kulia, wakiwapungia mkono maelfu ya rais kwenye uwanja wa Uhuru Park, Kenya, Ap

Wakazi wa Kisumu wasubiri kupiga kura katika uchaguzi wa mchujo kwa ajili ya ODM Orange Democratic Movement, kiongozi wa chama ni Waziri Mkuu Raila Odinga,  Thursday, Januari 17, 2013.

Wakazi wa Kisumu wanalalamika dhidi ya matokeo ya awali ya chama cha ODM Januari 20, 2013.