Kampeni ya kuwanusuru vifaru weupe yaendelea Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wanamazingira Kenya wameanzisha kampeni ya kuwanusuru vifaru weupe ambao wako hatarini kutoweka kwa kutumia njia ya kupandikiza mimba (IVF) kwa majike yao.