Kamala asema fursa ya makamu rais ni ya wanawake wote

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa Rais Kamala Harris alieleza kuwa pamoja na kuwa yeye ni mwanamke wa kwanza kuwa Makamu Rais, asisitiza kuwa yeye sio wa mwisho wengi wanaweza kufikia ngazi hiyo.