JWTZ chini ya MONUSCO yaahidi kuwadhibiti waasi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Tanzania wanaoshika doria nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, chini ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa MONUSCO, wamesema kwamba watafanya kila wawezalo kukomesha mashambulizi ya makundi ya waasi.