Jurgen Klopp: "Pep Guardiola ni kocha bora zaidi duniani"

Your browser doesn’t support HTML5

Jurgen Klopp kocha nguli wa Liverpool anasema Kocha wa Man City Pep Guardiola ndiye kocha bora zaidi duniani.

Klopp alinganisha upinzani wa timu yake na Man City sawa na ushindani wa nguli wa tennis Rafael Nadal na mpinzani wake Roger Federer,

Timu hizo zitakutana uwanja wa Etihad katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza siku ya Jumapili