4 JUNI 2021 Zulia Jekundu Ep. 336 : Diamond Platinumz awakilisha Afrika Mashiriki katika tuzo za BET
Your browser doesn’t support HTML5
Wasanii wa kutoka Afrika magharibi wamekuwa wakifanya vizuri katika tuzo za kimataifa kwa muda sasa wakati Afrika Mashariki ikiachwa nyuma. Wengi wanasema ni wakati kwa Afrika mashariki kung’aa wakati wakitarajia kuwa Diamond atapata kura za kutosha.