Jumuiya ya kimataifa yalaani mapinduzi Burkina Faso

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa jumuiya za kimataifa wanaendelea kulaani mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso.
- Idadi ya vifo kutokana na dhoruba ya kimbunga Ana imeongezeka na kufikia 12 nchini Msumbiji na Malawi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari