Marekani na Uingereza ni nchi za mwisho kushutumu uamuzi wa Ethiopia kuwafukuza maafisa saba wa juu wa Umoja wa Mataifa huku ukosoaji wa kimataifa ukiongezeka.
Jumuiya ya kimataifa yalaani hatua ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa UN
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa Mataifa Ijumaa umelaani tangazo la Ethiopia la kuwafukuza maafisa saba wa juu wa UN.