Jukwaa la Mansa lawahamasisha wajasiriamali wadogo na wakati kujitangaza

Your browser doesn’t support HTML5

Jukwaa la Kibiashara linalojulikana kama Mansa lajitambulisha mjini Dar es Salaam kutoa nafasi kwa wajasiriamali hasa wadogo na wakati kujitangaza.