Jukwaa la Economic Impact: Unyanyasaji wa watoto kijinsia kupitia mitandaoni waongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Repoti hii inaeleza namna tatizo la unyanyasaji wa kingono wa watoto kupitia mitandaoni unavyokuwa kwa kasi. Taarifa hii ni kulingana na Repoti iliyoandaliwa na Jukwaa la Economic Impact. Ungana na mwandishi wetu wa Nairobi kupata maelezo zaidi...