Juhudi za kuhamasisha uzazi wa mpango zajikita Kaunti ya Kilifi
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanamke kwenye Kaunti ya Kilifi, Pwani nchini Kenya, aeleza hapakuwa na uhamasishaji wa uzazi wa mpango na hivyo alijikuta anafululiza kuzaa watoto kila mwaka. .