Joto la mechi ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF lafukuta

Your browser doesn’t support HTML5

Kuelekea mchezo wa fainali ya kwanza wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF baina ya klabu ya soka ya Yanga ya nchini Tanzania dhidi ya USM Alger ya Algeria utakaopigwa mwishoni wa juma hili huko Tanzania. i

Mashabiki wa soka wameitakia kheri klabu ya Yanga huku mchambuzi akielezea mtazamo kuelekea mchezo huo wa kihistori kwa soka la Tanzania, mwanahabari wetu Idd Uwesu na taarifa zaidi