Joe Biden afanya mkutano wa hadhara wa kwanza na CNN

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa hadhara na CNN umewapa watazamaji kwa mara ya kwanza fursa ya kumuona Biden akijibu maswali mbalimbali tangu alipokubali kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya chama cha Demokratik.