Jinsi mwenye nyumba alivyoweka historia Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Simulizi ya mmiliki wa nyumba nchini Kenya alivyoweza kuonyesha ubinadamu wakati huu wa COVID-19 kwa kuwasaidia wapangaji wake kutolipa kodi ya nyumba ya miezi mitatu na misaada mingine.