Jinsi mwanamuziki wa jimbo la Sahel anavyotafuta fursa

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Jimbo la Sahel atumia studio zilizoko Marekani kutengeneza muziki wake ambao ameurikodi kwa kutumia simu yake.