Jinsi Marekani inavyo waenzi mashujaa wake

Your browser doesn’t support HTML5

Siku ya Mashujaa, maarufu kama siku ya Armistice, ni sikukuu ya serikali kuu inayo sheherekewa Novemba 11 kwa ajili ya kuwaenzi wanajeshi wa zamani.
Mwaka huu inafanyika pia kumbukumbu ya miaka 100 ya Makaburi ya Mwanajeshi asiyejulikana, asherehe ambazo zinavutia milioni kadhaa ya wageni kila mwaka.