Jinsi janga la Corona lilivyoathiri biashara Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Kenya inakabiliwa na changamoto ya biashara ya maua na utalii kutokana na janga la Corona, huku wadau wakieleza hasara na athari hasi za kukosekana maua sokoni kwa wapendanao.