Jimbo la California larejea katika hali ya kawaida

Your browser doesn’t support HTML5

Jimbo la California nchini Marekani hatimaye limefungua tena shughuli zake baada ya kufungwa kwa muda kutokana na kuwekwa vizuizi vya kudhibiti COVID-19.