Jiji la Washington, DC lahimiza 'Maisha ya Waafrika Weusi ni Muhimu'

Your browser doesn’t support HTML5

Mtaa karibu na White House mjini Washington, DC wawekwa mchoro wenye herufi kubwa unaosisitiza kuwa "Maisha ya Waafrika Weusi ni Muhimu" kufuatia kifo cha George Floyd akishikiliwa na polisi.