Jiji la New York City lakabiliwa na uhaba wa wafanyakazi wa Ujenzi

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika lisilotafuta faida linasaidia wahamiaji kupata mafunzo kuhus ajira. Mafunzo haya hutolewa kuwaandaa wafanyakazi kufahamu masuala ya usalama katika viwanja vya ujenzi. Hii ni hatua ya kukabiliana na uhaba wa wafanyakazi wa ujenzi katika jiji la New York. Endelea kusikiliza...