Duniani Leo : Aprili 14 : Jeshi na walinzi wa Tshisekedi wazuia shambulizi la uasi

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la Goma kwa kushirikana na walinzi wa Rais Felix Tshisekedi wamezuia shambulizi la Kasi ambapo mwanajeshi mmoja amefariki katika mashambulizi hayo.