Jeshi na Polisi wafanikiwa kuzuia shambulizi liliouwa watu 9

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, serikali ya mkoa wa Kivu kaskazini mashariki mwa Congo, inasema Jeshi na Polisi wamezuia mashambulizi ya kikabila yaliyo sababisha vifo vya zaidi ya watu 9.