Jeshi la Uganda laongeza wanajeshi DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Mashariki ya DRC Serikali ya Uganda imeongeza idadi ya wanajeshi wake wilayani Beni ambako juhudi za pamoja na jeshi la DRC FARDC zinaendelea kupambana na makundi ya waasi. Austere Malivika ana taarifa zaidi kutoka Goma.