Jeshi la Marekani latahadharishwa juu ya mashambulizi mapya Kabul

Your browser doesn’t support HTML5

Vikosi vya Jeshi la Marekani vinavyowaondoa Wamarekani na raia wa Afghanistan waliokata tamaa kufuatia kuingia utawala mpya wa Taliban vimewataka kuwa katika tahadhari ya kutokea mashambulizi mapya Ijumaa.