Jeshi la DRC linaendelea kuimarisha ulinzi kutokana na tishio la waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Jeshi la DRC limeimarisha ulinzi Goma kutokana na tishio la waasi wa M23 huku maelfu ya vijana wakisajiliwa katika jeshi

Kura zinaendelea kuhisabiwa hapa Marekani katika uchaguzi wa katikati ya muhula wenye ushindani mkali ambapo hakuna chama kina uhakika wa kudhibiti bunge.

Wanajeshi wa Russia wameondoka Kherson katika hatua ambayo Ukraine inaona kama ya kimkakati.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari