Jeshi la DRC lawakabili waasi wa M23 Kivu Kaskazini

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano kati ya Jeshi la Congo, FARDC, na waasi wa M23 yaendelea kwa siku ya tatu huko Kivu Kaskazini, Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.