Jeshi la DRC ladhibiti maeneo yaliyokuwa yametekwa na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wachukua udhibiti wa maeneo kadhaa yaliyokuwa yametekwa na waasi wa M23.