Jeshi la Congo lavidhibiti vijiji vilivyokuwa chini ya waasi
Your browser doesn’t support HTML5
Jeshi la Congo limeweza kuvirudisha vijiji vitatu na sehemu kubwa ya Rugari katika udhibiti wa serikali kufuatia operesheni ya kijeshi iliyodumu kwa siku tatu.