Jeshi la Congo ladhibiti eneo la Kibumba lililokuwa limetekwa na waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Kibumba wajitokeza kuwapongeza jeshi la DRC na kuonyesha furaha yao kwa jeshi hilo kufanikiwa kuwafurusha waasi wa M23 kutoka katika eneo waliokuwa wamevamia.