Jeshi la anga la Ethiopia lashambulia tena Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Ethiopia imefanya mashambulizi ya pili ya anga wiki hii katika mji mkuu kwenye mkoa wa Tigray. Shambulizi hilo la Jumatano linaendeleza kampeni ya kupunguza nguvu vikosi vya Tigray katika vita vilivyodumu kwa takriban mwaka mmoja.