Jenerali wa Marekani atoa tathmini ya majeshi kuondoka Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Tathmini ya jeshi la Marekani kuhusu kuondoka Afghanistan yaonyesha ni hatua ya mafanikio ya kiufundi lakini kimkakati wameshindwa, kwa mujibu wa Jenerali wa jeshi la Marekani katika ushahidi wake mbele ya jopo jingine la kamati ya bunge.