Jela kuu ya Munzenze huko Goma imechomwa moto

Your browser doesn’t support HTML5

Tukielekea huko DRC tuaarifiwa kuwa jela kuu ya Munzenze huko Goma imechomwa moto na wafungwa wenyewe kwasababu hawapewe chakula ila hakuna maafa yoyote