Je, nini maoni ya Waislam kuhusu matayarisho ya sikukuu ya Idd el Fitr

Your browser doesn’t support HTML5

Waislam wako katika maandalizi ya sikukuu ya Idd el Fitr nchini Kenya. Ungana na mwandishi wetu wa Kenya akikuletea maoni ya Waumini wa Dini ya Kiislam kuhusu hali ngumu ya kimaisha iliyopo Kenya na namna wanavyoendelea kumtegemea Munga atawaletea faraja kuweza kuadhimisha sikukuu hiyo.