ICC yaingia dosari baada ya nchi kujitoa

Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC Fatou Bensouda, katika picha

Tayari Burundi, Afrika kusini na Gambia zimewakilisha barua za kujitoa katika ICC huku Russi ikitangaza kuondoa sahihi yake na Philippines imesema itafuata.

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa vita ICC yenye makao yake The Hague , Rome inakabiliwa na mzozo wa nchi kujindoa katika mahakama hiyo.

Tayari Burundi, Afrika kusini na Gambia zimewakilisha barua za kujitoa katika ICC huku Russi ikitangaza kuondoa sahihi yake na Philippines imesema itafuata.

Mtangazaji wa sauti ya Amerika Mary Mgawe amefanya mahojiano na Profesa David Monda kutoka chuo kikuu cha New York na kwanza akamuuliza hatua hiyo italeta athari gani ndani ya icc

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi za Africa kujitoa ICC