Jarida la Time lawataja wasanii wenye ushawishi mkubwa duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Kati ya wale watu 100 waliotajwa katika jarida la Time kuwa wanaushawishi mkubwa duniani ni Gabrielle Union, Megan Stallion na wasanii wengine.