Japan kushirikiana na Kamati ya Olymic kuhakikisha usalama wa mashabiki

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Japan akutana na Rais wa Kamati ya Olympic ya kimataifa kujadili usalama wa mashabiki kuepusha maambukizi ya COVID-19 watakao hudhuria michezo hiyo.