Janga la virusi vya corona laongezeka Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya mpito ya Rais mteule inaendelea kuwasiliana na uongozi wa Rais Donald Trump ili kuchukua hatua za pamoja kusaidia taifa la Marekani kukabiliana na ongezeko jipya la COVID-19.