Matukio ya Dunia Janga la tetemeko la ardhi Haiti laua zaidi ya watu 1,297 16 Agosti, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Idadi ya waliofariki katika tetemeko la ardhi nchini Haiti hadi Jumapili ilikuwa imepanda na kufikia 1,297.