Janga la COVID-19 laathiri utengenezaji staili ya nywele

Your browser doesn’t support HTML5

Janga la virusi vya corona labadilisha mengi tangu lilivyoanza 2020, moja katika hayo ni utengenezaji wa staili ya nywele.