Janga la COVID-19 laangamiza soko binafsi la ajira Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Waajiri Kenya linasema janga la Corona limeagamiza asilimia kubwa ya ajira katika soko binafsi.