Janga la Corona lasababisha uhaba wa vipuli vya kielektroniki

Your browser doesn’t support HTML5

Mhandisi wa vipuli vya kielektroniki vya magari anaeleza janga la Corona limesababisha uhaba mkubwa wa vifaa hivyo katika nchi za viwanda duniani na kupelekea kupungua kwa uzalishaji wa magari.