Jamaica yachukua hatua kuzuia mmomonyoko wa maadili

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika linalosimamia utangazaji Jamaica limepiga marufuku matangazo ya muziki na televisheni ambayo yanaonekana kutukuza au kuhamasisha harakati za kihalifu, ghasia matumizi ya dawa za kulevya na silaha. Baadhi ya wasanii wakosoa hatua hiyo.

Habari mbalimbali kutoka pande mbalimbali za dunia, ungana na mwandishi wetu akikuletea muhtasari wa yaliyojiri masaa 24 yaliyopita.