Iwapo hakuna chama kitapata idadi kubwa ya viti kudhibiti bunge...?

Your browser doesn’t support HTML5

Haijabainika chama kitakacho dhibiti Baraza la Wawakilishi na Baraza la Seneti nchini Marekani wakati kura zikiendelea kuhisabiwa katika majimbo yaliyokuwa na ushindani mkali.

Hadi sasa chama cha Republikan kinaongoza katika Baraza la Wawakilishi huku chama cha Demokratik kikiwa na matumaini kushikilia wingi wa viti katika Baraza la Seneti. Nini kitatokea iwapo hakuna chama kitapata idadi kubwa ya viti kudhibiti Bunge...