Matukio ya Dunia Ivory Coast kupiga kura Jumamosi kumchagua rais 30 Oktoba, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Wananchi wa Ivory Coast wapiga kura Jumamosi katika uchaguzi wa rais wenye utata ambapo kuna wagombea wanne.