IPU yakutana Kigali kutafuta njia ya kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia kazini

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge katika muungano wa shirikisho la mabunge ulimwenguni (IPU) wanakutana Kigali Rwanda katika kikao kinachoangalia namna ya kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia, ikiwemo unyanyasaji wa wabunge wanawake katika mabunge mbalimbali.

Wanatizama namna ya kutunga sheria au utekelezaji wa sheria zilizotungwa kukabiliana na matukio ya unyanyasaji huo kazini.