Matukio ya Dunia India yawazika wanajeshi wake ikidai wameuawa kikatili 20 Juni, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 India yawazika wanajeshi wake baada ya kutokea mapambano kati yake na China ikidai kuwa wanajeshi hao waliuawa kikatili