Ungana na mwandishi wetu anatueleza tahadhari iliyotolewa na IMF kuhusu uwezekano wa kukosekana uthabiti wa kifedha duniani. Endelea kusikiliza...
IMF yatahadharisha hali ngumu kuikabili dunia kutokana na viwango vya juu vya riba
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Fedha Duniani, IMF, inasema kuna uwezekano wa kuwepo hali ngumu ambapo viwango vya juu vya riba vinadhoofisha ukuaji kiasi cha kusababisha kudorora kwa uchumi hasa katika nchi tajiri zaidi duniani.