ILO yasema hali ngumu itawakabili wafanyakazi sekta isiyo rasmi

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Kazi Duniani laeleza kuwa idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na hali ngumu duniani kutokana na janga la corona ni wafanyakazi wa sekta isiyokuwa rasmi.