ILO yarekodi ongezeko la kipekee la ajira kwa mtoto

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Kazi Duniani (ILO) limerikodi ongezeko la kwanza kwa idadi kamili ya ajira kwa mtoto tangu ilipoanza kufuatilia uvunjifu huu wa sheria miaka 20 iliyopita.