IGAD: Ukame wasababisha ukosefu mkubwa wa Chakula Pembe ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Ukame unaendelea kusababisha ukosefu mkubwa wa chakula katika Pembe ya Afrika huku viongozi wa IGAD wakisema hali inaendelea kuwa mbaya zaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari